Fasihi ya biblia isiyogharimiwa 
Fasihi ziko katika mfumo wa PDF na zinaweza kutazamwa kwa kutumia toleo jipya la Adobe Reader©
Tanzania Comoros
     
GANO LA KALE
Old Testament
Mwanzo 1-11
(Genesis 1-11)
Mwanzo 12-50
(Genesis 12-50)
     
Kumbukumbu la Torati
(Deuteronomy)
Isaya 1-39
(Isaiah 1-39)
Isaya 40-66
(Isaiah 40-66)
     

AGANO JIPYA
New Testament
Injili ya Mathayo
(Gospel of Matthew)
Injili ya Marko,
1 & 2 Petro

(Gospel of Mark, I & II Peter)
 
Injili ya Yohana,
1,2 na 3 Yohana

(Gospel of John, I, II & III John)
Matendo ya Mitume
(Acts)
Warumi
(Romans)
     
1 & 2 Wakorintho
(I & II Corinthians)
Wakolosai,Waefeso,
Filemon na Wafilipi

(Colossians, Ephesians, Philemon and Philippians)
1 Timotheo, Tito & 2 Timotheo
(1 Timothy, Titus & 2 Timothy)
     
Waebrania
(Hebrews)
Ufunuo
(Revelation)
 
     

Pitio la Agano la Kale
(Old Testament Survey)
 
Pitio la Agano Jipya
(New Testament Survey)

Hii tovuti ya usomaji wa biblia usiogharimiwa umejitoa katika uvuvio wa kipekee wa biblia.Ndio chanzo pekee cha imani (wokovu) na mazoezi (maisha ya mkristo). Ufunguo wa utafsiri wa biblia ni kutafuta kusudi la mwandishi wa mwanzo kwa njia za:
  1. Uchaguzi tanzu
  2. Muundo wa fasihi
  3. Uchaguzi wa kisarufi
  4. Uchaguzi wa neno
  5. Muundo wa kihistoria wa mwandishi, maandiko na
  6. Kurasa zilizo sambamba (mfasiri mzuri wa kitabu kilichovuviwa ni kitabu chenyewe kilichovuviwa. Biblia ni maktaba ya ukweli)
Mwandishi amefundishika ki-elimu (angalia uanzaji wake na maelezo ya imani katika www.freebiblecommentary.org) katika ufasiri wa fasihi za maneno (utafsiri wa kibiblia) na umejaribu:
  1. Kukutia moyo ili kusoma biblia peke yako (wewe, biblia na Roho Mtakatifu kupewa kipaumbele)
  2. Kukusaidia kutathimini uelewa wako na kutoa uchaguzi wa tafsiri zingine
  3. Mara tu kusudi la mwanzo (kama vile maana moja ) imepatikana hivyo ni lazima itumike katika muundo wako wa kitamaduni na maisha! Kuna matumizi mengi yanayowezekana lakini ni kusudi moja pekee la uandishi.
  4. Kanuni za ufasiri wa fasihi za maneno haziwezi kukuambia kwa kiasi Fulani andiko linahusu nini lakini linaweza kukusaidia kutambua kile kilichomaanishwa.
  5. Ufasiri wa fasihi za maneno ni kikaguzi juu ya vitu vya kuangalia katika usomaji wa maandiko wa mtu mmoja mmoja.
  6. Kila mtazamo wa utafasiri ni muhimu lakini mara nyingi watafasiri wa biblia za kisasa pekee huuliza swali “andiko hili lina maana gani kwangu”? wakati gani, swali zuri ni “ni nani alikuwa mwandishi wa mwanzo (mtu pekee aliyevuviwa) aliyesema katika siku zake”? na “ni kwa vipi ukweli huu utumike katika siku yangu”?
Natumai semina yangu ya utafsiri wa biblia umekuwa wa baraka kwako na ya kuwa fasihi za mstari kwa mstari zinakuleta karibu na Mungu.

Dr. Bob Utley
Profesa (msitaafu) wa ufasiri wa fasihi za maneno
 
Copyright © 2012 Bible Lessons International, P.O. Box 1289, Marshall, TX 75671, USA